KUKADILIA UMRI WA UJAUZITO KIPIMO CHA UREFU CHA FANDASI NI MUHIMU
Katika kipindi hiki, utajifunza jinsi ya kuchukua kipimo muhimu ambacho kinapaswa kufanywa katika kila safari ya utunzaji katika ujauzito - kupima urefu wa sehemu ya juu ya uterasi ya mama kama njia ya kukadiria ikiwa mtoto wake anakua kikawaida. Tutakufundisha njia mbili za kufanya hivi -
Ndayisaba23
মন্তব্য মুছুন
আপনি কি এই মন্তব্যটি মুছে ফেলার বিষয়ে নিশ্চিত?