2 yrs - Translate

Jamaa fulani alifika hosi🚑, Daktari akamuuliza ni nini mbaya🤔.....akajibu, "nlishuku bibi wngu anahanya😯, nikajifnya naenda job then nikarudi kwa nyumba mchana lakini sikuona mtu, kidogo nkitoka nikaona kimjamaa kikiteremka stairs kikivaa shati😎, nikachukua frigde nikakirushia, hapo nkastrain mgongo ndio nmekuja unitibu". Daktari akamtibu akaenda home😊.
Baadae jamaa mwingine anakaa aligongwa na gari akaingia🤗. Daktari akamuuliza nini mbaya...Akasema, "nliset alarm ikakataa kulia nkachelewa kwenda job, nkiteremka stairs mbio kama navaa shati sijui fridge ilitoka wapi juu ikanigonga puu😁!!.ndio maanake nko hapa unitibu." Daktari akamtibu akaenda home😃.
Baadae kidogo kukaingia jamaa anakaa amekanyangwa na train, daktari akamuuliza amefanya nini🤔. Jamaa akasema, "mimi daktari naitwa Alzaro , nilikuaga ndani ya fridge, nikastukia fridge imefly..........Daktari akafaint 😂😂😂😂✋.

Install Palscity app