2 ๋…„ - ๋ฒˆ์—ญํ•˜๋‹ค

Kuna dem alimpea challenge boy wake akamwambia akae siku moja bila kumtext ama kumpigia simuโ˜Ž๐Ÿ“žna kama ataweza kaa bila kumtext na kumpigia then atampenda milele.

So huyo boy akakubali hiyo challenge hakumtext ama kumpigia simu hadi siku ilipoisha bila kujua dem wake alikua na just 24hrs ya kuishi akufe kwa sababu alikua anaugua cancer๐Ÿ˜ช.

After siku kuisha alienda๐Ÿšถkwa kina dem wake akiwa na furaha ya kumwona coz alikua amemumiss๐Ÿ˜ชlakini alipofika kwa gate akakuta watu wengi wakiwa na huzuni akaharakisha kufika ajue nini inaendelea.

Alipofika kwa mlango na kabla hajaingia ndani ya nyumba akapewa barua imeandikwa hivi "UMEFAULU KUKAA SIKU MOJA BILA KUNITEXT AMA KUNIPIGIA SIMU NAOMBA UFANYE HIVYO KILA SIKU"๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”

SAD INDEED ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ.

Install Palscity app