2 yrs - Translate

Kuna dem alimpea challenge boy wake akamwambia akae siku moja bila kumtext ama kumpigia simu☎📞na kama ataweza kaa bila kumtext na kumpigia then atampenda milele.

So huyo boy akakubali hiyo challenge hakumtext ama kumpigia simu hadi siku ilipoisha bila kujua dem wake alikua na just 24hrs ya kuishi akufe kwa sababu alikua anaugua cancer😪.

After siku kuisha alienda🚶kwa kina dem wake akiwa na furaha ya kumwona coz alikua amemumiss😪lakini alipofika kwa gate akakuta watu wengi wakiwa na huzuni akaharakisha kufika ajue nini inaendelea.

Alipofika kwa mlango na kabla hajaingia ndani ya nyumba akapewa barua imeandikwa hivi "UMEFAULU KUKAA SIKU MOJA BILA KUNITEXT AMA KUNIPIGIA SIMU NAOMBA UFANYE HIVYO KILA SIKU"😭💔

SAD INDEED 😭😭😭😭.

Install Palscity app