Ni Nini ushaifanya ukajua enyewe Niko na stress? Mimi nilibeba towel ya kuoga stage ya gari, niliwekelea kwa bega nikitoka kwa nyumba nihang kwa lines nikasahau kumbe nilihang kwa bega😂😂😂

Install Palscity app