Treat your horniness with the holiness it deserves.

Men,

Hanging around a woman without telling her what you want is being a dumb orbiter.

Don't waste her time. - She is also racing against time.

Tell her what you want.

Be blunt and bold.

Don't be a coward!

*#MasculinitySat

❤️ CARL AND MELINDA ❤️

 

EPISODE 33?

 

Nikaona mse mbele ya dinga and i was overspeeding ?. Ikabidi nicheze na emergency hadi dinga karibu ipite na huyo jamaa?. Nikashindwa sasa ni mjinga mgani huyu anadai kuleta bad luck maze. Nikatulia ndani ya dinga nijue form yake ni gani. Akatulia hapo kati kati ya dinga. Hio place iko somehow private so sio rahisi dinga ipite hapo. Nilitumia hii route ndio nifike kwa hao late kabisa. Nikatoka nje kuona ni nani. I was shocked kuona Micky mbele yangu?. Nikajua this man amekua akinitrace siku mzima

 

Me : What's up bruh?

Micky : Carl nataka tu unishow what's happening between you and Brenda

Me : Brooo?...what is this now

Micky : Mi nimechoka na hii mambo wacha nikushow...am tired ?..drama kila siku hadi usiku she is busy talking about you and calling u all the time..kwa job ndio hio hamuachani nashinda nawaona mnaitana private.. I don't have peace coz of you carl shidako ni nini na girlfriend yangu?

Me : Ok fikiria vile unataka and do whatever u want am here..ndio huyu mimi.. your girlfriend is a good friend of mine na hata unajua hivo...na hata ni mimi nilikupea trick ya kupata huyo dem naweza aje tena kuendea chini mse...do aje bro..am tired of explaining myself...do whatever u wanna do

 

Before hata nimalize jamaa akaniingia na blow moja ya ngumi?. Bazenga nikajipata ma down sea level. Kusema niamke tuingiane kumbe jamaa amekuja na mpini. Akainua kunilima nayo nikaishika kutingiza kiasi jamaa iko chini. Nikamlisha ngumi kavu kavu kathaa akatulia hapo chini. Kuamka jamaa akanirukia kwa shingo hadi kwa mchanga. Knockout flani illegal ikaamka hapo jamaa akanilima heady flani sijaipatana nayo. Nilikua nakahurumia lakini nikaona this is childish. Nikamuingia elbows sasa na heady zingine bila formula hadi apoteze memory. Jamaa flani akapita hapo na pickup wakatoka ndani wawili wakatutoanisha. Nilikua nimemaliza Micky hadi amefura macho hawezi ona?

 

Guy 1 : Mambo gani haya jameni...vijana mumekuja kumalizana huku

Guy 2 : Hawa wangeuana...

 

Nikaingia kwa dinga nikapotea. That was childish, Micky kupigana na mimi juu ya Brenda. Nilitharau hio kitendo sana. It was an ugly scene?. Nikaingia kwa hao nikataka niishie hadi bedroom. Melinda akanizuia

 

Melinda : Hey hey beb what happened hata huwezi salimia watu...oooh my?...what happened mbona umefura hivi uso na unatoka damu kwa mdomo?

Me : The unthinkable happened

Mama Melinda : Son what happened ?

Me : Mum I can't talk about this right now wacha nioge kwanza

Melinda : Beb tell me?

Me : We fought

Melinda : with who

Me : A friend..tulikosana kitambo so ameni-attack leo and things got out of hand

Melinda : Hebu le me call the police

Me : No..nimemuumiza so naweza shikwa don't call the police

Melinda : Beb sasa hizi ni gani surely...umeanza kupigana na watu kwa street?..uko sawa ama umelewa ?

Mama Melinda : So this guy is a drunkard

Melinda: Aaah mum na wewe?...carl halewi it was just my point of view... it's ok honey twende ukaoge

 

Melinda akanipeleka hadi bathroom akaniwekea hot water akaanza kuni-massage hizo vidonda akaanza kulia

 

Me : Why are u crying ?

Melinda : I just feel sorry for you beb

Me : Don't cry..it was a fair war honey hata kama nimefura but at least that guy is in ICU right now

Melinda : Wacha kusema hivo unajua ikikua worse unaweza shikwa?

Me : Don't worry..but this is embarrassing sasa mamako atasema am violent

Melinda : Don't worry

 

Melinda akaosha mkuu nikaishia bedroom nikachange nikakam kudeal na mathe sasa. Bazenga pia Micky alikua ameniwachia mhuri ya ngumi flani imefura kwa uso. Mathe akaanza kucheka ?

 

Melinda : Mum mbona unacheka

Mama Melinda : ??ooh my ribs..carl looks funny with that blow spot kwa uso??...am sorry carl ooh my ribs

Me : ?

Mama Melinda : Anyway carl nisamehe jana i was somehow rough on u... but maybe it's because it was the first time us seeing each other..but i like seeing you two together ?... welcome to the family and i love you two..u can make a cool couple

Me : Thanks mum?

 

Tukadishy supper. Melinda hakujua nimefight na msee tunawork naye. Nilikua sure lazima huko kwa job itakua balaa?. Hadi karibu nilenge kuishia job hio siku but nikajilazimisha tu. Hata ningetaka kuwacha job haingekua na effect yotote juu Melinda alikua na pesa?. But nilikua tu naishia nisikae idle. So bazenga nikaingia job. Micky hakuonekana. Brenda akaingia

 

Brenda : Carl am worried... Micky tangu atoke hapa jana sijamuona na hata phone yake iko off ?

 

To be continued ?❤️


iodine thedj

425 Blog posts

Comments