❤️ CARL AND MELINDA ❤️
EPISODE 29 ⛱️
Brenda alifanya nikapoteza appetite nikaweka food kando?. Story za ball zilikua ni kama kuwatch horror movies ?. Kwanza anasema hajui kama ni yangu ama ya Micky
Me : Brenda kua serious..utakosaje kujua ball ni ya nani
Brenda : Carl please nielewe...hata mimi niko confused
Me : Mbona ukafanya hivo with two guys almost the same day?..si hata ungetulia kwanza...
Brenda : Aki Micky came na singemkataza Carl..so ball nashindwa ni yako ama ya Micky
Me : Umeambia Micky uko na ball?
Brenda : Zii... nataka nikue sure ni ya nani kwanza
Me : Whaat?...heee this is strange mazee
Brenda : Ati strange na niko na ball?
Me : Try to do ur calculations well Brenda ujue hio ball ni ya nani..mi staki rumors
Brenda : But carl promise me hautaruka ikipatikana ni yako?.. staki kulea mtoi bila babake am not ready to be a single mother
Me : We fanya research yako kwanza mambo ingine tutajua
Brenda alikua stressed hata akaweka food kando akashindwa kukula?. Nikashindwa sasa hio ball ni ya nani. Hapo pia nikakua stressed na vile sikutaka ku disappoint Melinda. Nikacall Velma ?
Me : Hey beautiful
Velma : Hey honey
Me : Jana u almost caused chaos in my house
Velma : Aah kwani what happened
Me : Vile ulinitext Melinda ndio alikua na phone
Velma : Oooh my?..aki am sorry carl ndio nilishangaa mbona haukureply...so ulisolve aje
Me : Nilitumia ujanja tu...next time nitakua nakushow kwanza ndio ucall or I'll be calling you na usikue ukinicall usiku
Nikachapa job yangu. Jane alianza kunihepa tangu nimuone na boss wakiwa na illegal agenda ?. Jioni time ya kuishia mkuu nikaingia kwa dinga nikaishia kwa Velma
Velma : Walahi nimekumiss sana.. Sharl kuja uone...carl
Me : Sharl?..hello kid
Velma : Usiniambie jana karibu nikuharibie mambo?
Me : Hee?.. itabidi ukue unacall mchana..na kama ni usiku maybe mimi nikucall
Velma : Well i have missed u..ukilala huku italeta shida ama?
Me : Wueeh?..hio ni kama kichinjio
Velma : But u know carl am a woman and...
Me : Well i know what u want
Velma : Yeah honey u know what i mean..
Velma alikua anataka chuma itembee kisubmarine ??️?. Ikabidi nicall Melinda nimchoche juu nilijua huku nitachelewa
Me : Hello beb
Melinda : Hey beb
Me : Beb nimepitia supa nikuletee nini?
Melinda : Aah supa kufanya nini huko ?
Me : I want to buy some wine ?
Melinda : Ok niletee pizza na yoghurt ?
Bazenga nikajua sasa hapa hata nikitoka midnight hakuna kelele?. After kudish Sharl akaingia usingizi. Nikabebana na mali yangu hadi bedroom ?. Mkuu nilizungusha chuma ? kwa lubricants ? Velma akafungua kelele kama ambulance ?. Bazenga i took like two hours but akabaki satisfied. Akanipiga push hadi kwa dinga
Velma : Wow..ur game is such a vibe?
Me : To many more ?
Velma : Weekend i guess ?
Mkuu nikaingia kwa dinga but before nitoke nikaanza kujiuliza maswali mingi sana?. Like mbona mi husahau kutumia protection ?. Nikaamua sasa nitabuy kibao nizisunde kwa dinga. Nikapitia tao nikapiga shopping na nikabuy wine ?. Nikanunua CD kibao nikasunda kando ya kiti?..maisha muhimu?. Nikadrive hadi kwa hao
Melinda : Wow i like this wine baby?
Me : Yeah it's cool like you
Melinda : So beb I was to tell you my mum anakuja kesho
Me : Whaaat?
Melinda : Come on don't be afraid she's coming to see us..i told her about u
Me : But beb ungenishow mapema?
Melinda : Pia sahi ni mapema u can rehearse before afike?..i want to see how ull talk to her?.. unajua we hujifanya gaidi sana wacha nione hio kujichocha yako?
Me : I never disappoint ?
The following day nikaishia job so nikajua jioni mother in-law will be interviewing me?. So nikaishia huko nyuma kusaka Brenda
Me : Hey
Brenda : Carl
Me : So how is the going?..umejua ball ni ya nani?
Brenda : According to my facts... it's yours Carl ?
To be continued ?