KUJIKUNA (ALLERGY): / KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEAA BAFUNI AU CHOONI.

Tia asali ndani ya kikombe na kisha ongeza Vaslini na mafuta ya waridi (Marashi Jabali) ; jipake mahala panapowasha asubuhi na jioni na jiepushe na vinavyochochea kujikuna kama vile Mayai na Maembe, pia kunywa asali kijiko kimoja kila siku.

KUJIKUNA (ALLERGY) :

 

KUJIKUNA (ALLERGY) :Tia asali ndani ya kikombe na kisha ongeza Vaslini na mafuta ya waridi (Marashi Jabali) ; jipake mahala panapowasha asubuhi na jioni na jiepushe na vinavyochochea kujikuna kama vile Mayai na Maembe, pia kunywa asali kijiko kimoja kila siku.

 

UZURI WA USO : Upake asali uso wote wakati mwili upo katika mapumziko. Baada ya robo saa, osha uso kwa maji yenye uvuguvugu na kausha, halafu jipake kidogo mafuta ya Zetuni. Endelea kufanya hivi kwa muda wa wiki moja mfululizo; basi uso utameremeta.

 

JERAHA (KIDONDA) : Paka asali penye kidondana na funga bendeji na uepushe umajimaji, usifunge ila baada ya siku tatu. Basi jeraha litafunga vizuri.

 

KUUNGUA : Chukua asali na uchanganye Vaslin kiasi kama hicho cha asali halafu jipake mahala palipoungua asubuhi na jioni mpaka ile ngozi ilioungua ibanduke.

 

Kwa kudura ya Allah ngozi mpya itarudi kana kwamba hukuungua, au changanya yai katika asali kiasi cha kijiko kimoja na jipake mahala palipoungua kila siku. Utaona faida yake.

 

KUFUNGA CHOO : Kufunga choo ni kinyume na kuharisha. Chukua maziwa baridi kikombe kimoja , koroga asali ndani yake halafu unywe, fanya hivyo asubuhi na jioni, matumbo yatalainika na kusafishika.

 

 

 

KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEAA BAFUNI AU CHOONI.

Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya moto) na hivi kufanya mishipa ya Damu* inayopeleka kwenye ubongo kuchanika na kupasuka na inahatarisha kwa binaadamu kupata kiharusi kwa haraka sana.

 

*Njia nzuri ya mtu* kuoga ni kuanza kutia maji katika mwili au miguu kwanza kabla ya kichwa ili kuweza kuupa mwili uzoefu na kufanya usawa katika ujoto wa Damu.


Akili S Akili

191 Blog posts

Comments