baadhi ya faida za tango kiafya. / NAMNA YA KUTUMIA TANGAWIZI.

Mara nyingi tumekuwa tukisikia kwamba mboga za majani na matunda ni kinga kwa afya yako na ni wazi na ukweli kwamba matunda mengi yana manufaa kwa afya na miongoni mwa matunda hayo ni pamoja na tango.

baadhi ya faida za tango kiafya.

Mara nyingi tumekuwa tukisikia kwamba mboga za majani na matunda ni kinga kwa afya yako na ni wazi na ukweli kwamba matunda mengi yana manufaa kwa afya na miongoni mwa matunda hayo ni pamoja na tango.

 

Pamoja na kuwa na kukosa ladha ya utamu, lakini ni vizuri ikafahamika tunda hili linasifa kwa kuwa na vitamin zote unazohitaji kwa siku. Tango moja lina vitamin B1, B2, B3, B4, na B6 madini ya chuma, 'potassium' na 'zinc.'

 

Pili unapojisikia kuchoka mchana, unaweza kula tango moja ambalo linaweza nguvu kwa saa kadhaa.

 

Tatu, ngozi yako inahitaji tango kutoa seli zilizokufa na makunyanzi. Weka au sugulia vipande vya tango usoni au sehemu iliyoathirika na utaona maajabu baada ya siku chache.

 

Lakini pia inaelezwa kuwa tango huweza kusaidia tatizo la midomo kukauka, katika hili inatakiwa kuchukuwa kipande cha tango na sugulia mdomoni kwa taratibu bila kutumia nguvu, hii itakusaidia baada ya siku kadhaa kuondokana na tatizo hilo.

 

Hali kadhalika inaelezwa kuwa tango linaweza kukupa msaada katika shughuli za usafi, hii ni kwa sababu unaweza kuchukua kipande cha tango na kusugulia viatu vyako, inaelezwa kuwa husaidia kung'aza viatu, lakini mbali na hilo pia inaaminika tunda hili huweza kusaidia kusafishia vioo ambavyo vimefubaa kwa uchafu au maji ya chumvi.

 

 NAMNA YA KUTUMIA TANGAWIZI

 KWA TIBA Tangawizi hutibu kutokusagika kwa chakula tumboni, Gesi tumboni, Msokoto wa tumbo (bila kuharisha), Kutapika, Mshtuko/Mkazo wa ghafula (wa msuli),Maumivu ya tumbo na Kibofu cha mkojo ikiambatana na Homa, Mafua, Kukohoa na Pumu.

1. KWA KUVIMBIWA NA KUTAKA HAMU YA KULA. Changanya Juice ya TANGAWIZI, Juice ya Limau na Chumvi Mawe kwa vipimo vilivyo sawa. Hakikisha umechanganya vizuri. Kunywa dawa hii kabla ya Chakula. Vingineyo changanya vipimo vilivyo sawa sawa vya Juice ya TANGAWIZI na Sukari Mawe. Koroga vizuri, kunywa kabla ya kula chakula. Dawa hii husafisha Ulimi na Koo na hukuongeza hamu ya kula na kukufanya mchangamfu.

2. MAUMIVU YA KOO NA KUKAUKA SAUTI Tafuna vipande vidogo vya Tangawizi.

3. KWA KUHARISHA Chua sehemu zinazozunguka kitovu kwa Juice ya Tangawizi.

4. KWA KISUKARI Kunywa Juice ya Tangawizi iliyochanganywa na Sukari mawe.

5. KICHEFUCHEFU NA KUTAPIKA Kunywa mchanganyiko wa Juice ya Tangawizi na Juice ya Kitunguu.

6. MAUMIVU YA KICHWA CHA WASIWASI Changanya Juice ya Tangawizi na Maziwa, kisha kausha. Nusa unga huo kama Tumbaku.

7. MAUMIVU MAKALI YA TUMBO Changanya kijiko kimoja cha au viwili vya Tangawizi iliyosagwa na kijiko kimoja au viwili vya mafuta ya Kastoroli. Kunywa kijiko kimoja mara mbili kwa siku.

8. KUUMWA JINO NA MAUMIVU YA KICHWA Chukua Tangawizi ya Unga


Akili S Akili

191 Blog posts

Comments