Fanya haya ilikuchelewa kufika kileleni

Kuwahi kumaliza katika tendo huweza kusababishwa au kuchochewa na vitu vingi sana. Wengi huusisha swala hili na magonjwa lakini kiukweli watu wengi huwa wanawahi kumaliza mchezo kutokana na mazingira au mawazo aliojiwekea mwenywe katika vichwa vyao. Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kum

anya haya ili kuchelewa kupiga bao

Kuwahi kumaliza katika tendo huweza kusababishwa au kuchochewa na vitu vingi sana. Wengi huusisha swala hili na magonjwa lakini kiukweli watu wengi huwa wanawahi kumaliza mchezo kutokana na mazingira au mawazo aliojiwekea mwenywe katika vichwa vyao. Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinaweza kumsaidia mwanaume asiwahi kumaliza mchezo katika tendo.

Fanya mazoezi ya mwili

Kama tunavyo fahamu kuwa mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kujenga afya njema na kukufanya uwe na mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kuepukana na swala la kumaliza mchezo kwa haraka.

Pumua vizuri

Kiungo chochote cha mwili huhitaji nguvu kamili ili kufanya kazi vizuri. Unapo pumua vizuri na kwa ukamilifu, viungo hupata nguvu za ziada. Baada ya kuinza tu (wakati wa tendo), jaribu kupumua kwa ufasaha ili mwili uweze kupata hisia kabla ya kuanza kulisakata rumba.

 

Mshirikishe mwenzako

Kuridhika kimapenzi ni tukio ambalo wote wawili mnaridhika. Ili kujifunza kujizuia kumaliza mchezo kwa haraka, ni vizuri kuwasiliana na mwenzi wako wa kimapenzi. Anaweza akakusaidia kushinda tatizo hili, kila unapohisi unataka kumaliza mapema, sema 'subiri' na usitishe kwanza shughuli zote kwa muda kidogo ili kwenda sawa nae.

Usiliwaze sana tendo

Pia kabla ya kwenda kuanza tendo kwa mfano upo ofisini na unajua jioni unakwenda kucheza mchezo basi jitahidi usiwaze hayo mambo chukulia kama ni kitu cha kawaida. Hii ni kwasababu kuongeza concentration ya kuwaza inaongeza stimulation kiasi kwamba ukimgusa mpenzi wako tayari umekwishaachia hata kabla ya kuanza mchezo.

Chagua style

Pia angalia angalia style zenye kuchochea kumaliza kwa haraka kwa mfano mbuzi kagoma.... etc hii ni ngumu kujizuia kumaliza hasa kwa bao la kwanza maana panakuwepo na constriction ya hali ya juu very tighten kiasi kwamba ukigusa tu tayari ..so ni vizuri style kama hizi zikafuata baada ya bao la kwanza ili uweze ku-enjoy vizuri zaidi.

 

 


Kinglayz Wakuchana

378 Blog posts

Comments