Tuzo za bet awards kupewa Burnaboy mwaka huu

Ni mara baada ya mwanamziki kutokea Naigeria na kuweza kufanikisha kujinyakulia tuzo hiyo,ni kitu ambacho kiliwaacha wengi midomo wazi wakijiuliza Maswali mengi,baadhi ya mashabiki kujiuliza mbona isingekuwa Diamond platinumz.


Simioni Rioba

120 Blog posts

Comments