Simba kuchomea mashabiki mikeka???

Hii ni baada ya Simba kupitia kichapo cha Young Africa Kwa bao moja baadhi ya mashabiki kudai kuwa Simba ilinunuliwa ,na baadhi ya mashabiki kudai ni bao la kichawi sio poa ???⚽⚽


Simioni Rioba

120 Blog posts

Comments