2 yrs - Translate

UFAHAMU UCHAWI WA VIFUNGO NA AINA ZAKE:

Embu tufahamu Maana halisi ya Uchawi wa kifungo/vifungo Ili uweze kujua je na wewe ni mmoja wapo wa tatizo hilo ama si mmoja wapo ili uweze kupata namna ya ufumbuzi uondokane na tatizo hilo biidhnillah.
Sheikh Mohamed amekusudia kuwazindua watu wasihadaike na watu wasikuwa na maana na kuwasaidia wasiingizwe katika shirki na mtihan wa kudhulumiwa kwa lengo la kuambiwa wanafanyiwa tiba twende sambamba kiuhakika katika hili
Tunaingia moja kwa moja
ﻭﺃﻣﺎ ﺍﻟﺮﺑﻂ ﻓﻬﻮ ﻋﻠﻰ ﺛﻼﺛﺔ ﺃﻗﺴﺎﻡ
Kwamba uchawi wa kifungo umegawanyika katika mgawanyiko wa namna tatu na zote ni khattar mnooo
ﻳﻜﻮﻥ ﻣﻦ ﺃﺭﻳﺎﺡ ﺍﻟﺠﻦ
Namna ya kwanza inakuwa katika mazingirra ya upepo wa kimajin napo sema hivyo namaanisha wapo watu wachawi wamebobea katika uwanja huo kwa kutumia majini na wanayafuga kwa vile wewe leo hii unavyofuga mifugo yako
sasa anatengenezwa jini maalum na anakwenda kupewa kazi ya kukufunga huwezi pata chochote iwe kazi maisha watoto rizki huyo jini anakwenda kukufunga kwa namna yake hii namna ya kifungo cha kijinn ni namna khatar mmno manake inakuwa ni katika mazngira ambayo huwez jielewa na leo imekuwa athar kubwa
ﻭﻣﻨﻬﺎ ﻳﻜﻮﻥ ﺳﺤﺮ ﺑﻦ ﺁﺩﻡ
2 Namna hii ya pili nayo ni khatar kubwa Kuna watu tunasema wanaroho mbaya kuliko Firauni
Namna ya pili na kifungo ambacho unafungwa na mchawi wa kibinaadam hapa sasa ndo waweza chukuliwa nguo imma nguo ya ndani ndio wanapendelea zaid katika aamali hiyo mchawi huyo anaweza kutumia njia ya kukuchota unyayo wako ama wengine hufika mbali zaid kwa kukufunga kwa kukuchota kivuli chako wengine hufungwa kwa kuchukuliwa vitovu ama nywele ama chochote katiko namna ya uchawi wa kifungo unaofanywa na binaadam katika mapenzi Mwanaume au mwanamke anaweza kutaka kumfungo mwenzie anaweza kufanya hivi kwa kuyalinda mapenzi yake kwa huyo mtu lakin si salama badae anaambiwa kwamba ili tumfunge huyu mtu kalete kitambaa ama chochote ambacho mtakitumia baada ya jimai ili tumdhibit tafadhali yapo haya mambo lakin ni khatar sana waweza kumfunga mtu vibaya uchawi huu umegawanyika ni si uchawi wa kitoto unapokuwa umeathirika na tatizo la kifungo jua kufunguliwa kunahitaji utaalam na ujuzi mkubwa kwa sababu unatoka katika mtego ambao sio mdogo na process zake ni kubwa ambazo zinataka utulivu mkubwa pia.
3 Namna ya tatu hii ni athar ya kijicho kijicho akawa mtu amesibiwa na kijicho bhas atakuwa na mtihan wa maradhi ya kila mara hatoweza kufanya lolote na atakuwa mtu mwenye wakat mgumu kwa kusumbuliwa na maradhi muda mwingi
Lakin katika hizo namna 3 zote zinaingia katika athar ya mwisho ambayo imeingia kuwaathiri walio wengi kuna kifungo ambacho wanandoa wanafungwa kupata watoto wasipate wasielewane wasifurahie ndoa yao na kifungo hiko ni kibaya zaid kwa sababu huenda ikafikia mwanaume akawa kafungwa asiweze kabisa kumuingilia mkewe uchawi huo ni mbaya na pia yawezekana mwanamke aliefungwa asiweze kabisa kuweza kuingilia kwa maana ya kukosa hisia kabisa za mumewe na kufungwa wakat muweke anahitaji kumuingia bhas humtokea hali kwamba ya sehem yake kuwa na kizuiz bhas ni ndio mambo yalivyo
Hizo ndio Aina za vifungo na vigawanyiko vyake laaakin zipo namna nyingi za kutibu tatizo hilo namna ambayo hutibu moja kwa moja ni njia ya kutumia mayai matatu ya kienyeji
Pia kwa Aya 3 za QURAN hapa ndipo kwenye password ya tiba hiyo huwezi kuifanya hadi uitambue hiyo password.

Acha kupoteza pesa pasipo na matumaini wala mafanikio kwa watu wa laghai, kwa tiba mujarabu za kissunah na kisomo cha kisheria(Ruqyah) usisite kuwasiliana nami mnajimu na tabibu wa tiba mbadala na maradhi sugu sheikh Mohamed kwa mawasiliano 👇🏿

+255 715 277 200 Whatspp/Call

image

Install Palscity app