RIMBWATA/JINSI YA KUMVUTA MTU KIMAHABA:
Hii ni talasim la mapenzi andika khatima hii katika karatasi nyeupe tatu, sehemu ya kwanza hapo kwenye mstali mwekundu ni pahala pa kuweka jina lako na la mama yako na hapo mstali wa pili wa njano ni pahala pa kuweka jina la mpenzi wako unae mkusudia kumfanyia hivi hata kama yupo mbali hii itamfanya huyo mtu arudishe mapenzi baina yako na yake na atakutimizia mahitaji yako yote ukisha maliza.
↙️Karatasi ya kwanza nenda ukaiweke chini ya jiwe kubwa.
↙️Katatasi ya pili kachome moto uibadilishe iwe majivu na majivu hayo ya mwage katoka upepo.
↙️karatasi ya tatu kaitupe katika maji yanayo tembea(mto)
Zingatia sana kabla ya hapo ukiandaa tu iwe siku ya ijumaa na uisomee BARAHATIx2, KARIRIx2, TATIRIHx2, soma mara 113 huku ukiwa unaifusha ubani msafi mweupe or zuhura baada ya hapo ndio upeleke sehemu hizo tatu.
kwa tiba mujarabu za kissunah na kisomo cha kisheria(Ruqyah) usisite kuwasiliana nami mnajimu na tabibu wa tiba mbadala na maradhi sugu kwa mawasiliano 👇🏿
+255 715 277 200 Whatspp/Call