2 yrs - Translate

STORY YA KUSIKITISHA (true story)

Nakumbuka,,,Miaka zaid ya 10 iliyopita ilikuw mida ya alasiri kama sikosei sina hakika sana,. Nilitoka zangu kwenye mihangaiko yangu kidume nimetia timu home (kwangu sio kwetu)..Nilipanga chumba kimoja kwa baba na mama Side mandevu, (r.i.p Mama side)...Bas aisee tukawa tunasikia kama pancha zinalialia usawa wa kutokea maeneo ya barabarani,, maneno ya watu tofauti tofauti walisem “kuna gari limedondoka”,,“kuna sherehe ya maulid izo ni fataki”.,,Yan kila mtu alisema lake..Bas kidume nikasema nioge nivae chap niende nnaposikia milio nikajionee mwenyew,,,ebwana ile natoka nje tu kuna nyumba ya jilani imepigwa bomu,..Kumbe mabomu yanalipuka Gongo la Mboto,,,Wife alikua mjamzito mtoto yupo ana miaka 11 now..Bas me na wife tukachukua vitu muhim (PESA N.K) Kiguu na njia tunakimbia tusiko jua uelekeo wa kisarawe..Kuna nyumba tulipita winja winja walistuka sana.. tuliwaambia kuna mabomu yamelipuka wakatutukana na kutuita waoga,,aisee tuliwakuta wamefika kisarawe zamani sanaaa hao waliotuita sisi waoga😁😁,,,...Bas tulikatiza msitu wa hifadhi aisee tulikutana na maswahibu mengi sana.

Install Palscity app