2 yrs - Translate

Njia pekee waliyokuwa wanaiona kuwa ni Mungu anawasaidia kuishi ilikuwa ni madeni, na baada ya Mme wake kufa hakuona kama kuna njia nyingne ya Mungu kuwasaidia tena; Kwani mkopa madeni tayari alikuwa ameshakufa na amewaachia madeni makubwa sana. Na hata alipoulizwa ana nini ndio maana alijua kuwa hana kitu; Kwani alikuwa anajua kuwa kitu pekee cha kumsaidia ni mpaka ziwe ni mali zilizotokana na madeni.
[2Falm4:1-7.]

Lakini ukweli ni huu, Mungu anaweza asikusaidie kwa sababu una nyenzo kubwa ambazo unadhani anaweza kuzitumia kukusaidia, na badala yake akakusaidia kupitia nyenzo kidogo sana ambazo kwa kawaida yamkini ulikuwa unaziona kuwa si kitu. na ndio maana Mungu alimsaidia mjane kupitia chupa moja tu ya mafuta na wala sio Milioni1 ya mkopo.!

Jitahidi sana kumwamini Mungu kuwa anaweza akakusaidia hata pale ambapo hauna nyenzo kubwa ambazo Unadhani kuwa atazitumia kukusaidia kupitia hizo.!

God bless You.
*Mwalimu Dismas Herman*

Install Palscity app