Star Wa Muziki 🌏 SIMBA 🦁 #DiamondPlatnumz Anasema Kwamba Jana Usiku Watoto Wao "Tiffah & Nillan" Waliwaita Yeye Na #Zari Huku Mada Ikiwa Ni "Sababu Gani Iliyopelekea Mahusiano Yao Kuvunjika?"

Tiffah: Mama Jana Katuambia Kwamba Wewe (Diamond) Upo Kwenye Mahusiano Mengine Na Una watoto wengine Nje (Tahiya & Taraj) Na Ndiyo Umesababisha Mahusiano Kuvunjika

Zari: Hapana (Taraji & Tahiya) Hao Ni Binamu Zenu Na Sio Watoto Wa Baba Yenu Ila Alikuwa Na Mtoto Mwingine Alizaa Na Mwanamke Mwingine (Mobeto - Daylan)

Diamond: Ni Kweli Mama Yenu Amewaambia Hivo ? Mimi Mbona Sina Mwanamke Mwingine Nje !! Nina Mtu Mmoja Tu Ninayempenda Ambaye Ni Mama Yenu 😀

Tiffah & Nillan: Lakini Mama Nae Ana Mwanaume Na Muda Mwingi Huwa Tunamuona Kabisa, Mama Ndio Sababu Ya Nyie Kuachana

Zari: Aah !! Kwahiyo Mmenigeuka Na Kunishambulia !! 😀😀 ( Zari Akanyanyuka Na Kuondoka)

Tiffah & Nillan: Nenda Huko Bwana !! Wewe Ndio Sababu Ya Familia Kuvunjika 😀🙌

Diamond: Ila Msijali Wanangu Mimi Na Mama Yenu Bado Tupo Pamoja Wala Hatuajaachana Sawa Eeh

Tiffah: Aah Baba Yule Mama Ndio Kavunja Mahusiano

Swipe left ⬅️⬅️⬅️

Cc.✍:@officialtriggah

#AfricaIsWatching #WasafiDigital

image

Install Palscity app