Batmoney Sky created a new article
2 yrs - Translate

KUFUATA KANUNI NA TALATIBU ZA KILIMO CHA PAMBA NI BORA ZAIDI | ##batmoney #pamba

KUFUATA KANUNI NA TALATIBU ZA KILIMO CHA PAMBA NI BORA ZAIDI

KUFUATA KANUNI NA TALATIBU ZA KILIMO CHA PAMBA NI BORA ZAIDI

Ili kuongeza tija na Ubora wa Pamba Mkulima huna budi kuweka Juhudi katika kupata maarifa zaidi kuhusu kilimo cha pamba, maarifa haya unaweza kuyapata kwa wataalamu wa kilimo (Maafisa Kilimo) au kutoka kwa wakulima wengine wenye ujuzi wa pamba ama kwa Kutembelea maonesho ya Wakulima au kus

Install Palscity app