2 yrs - Translate

Siku moja utaamka na kugundua muda wa kufanya mambo yale uyapendao, umekwisha. Fanya sasa. Kamwe usiruhusu uwoga ukuzuie kufanya jambo lililo sahihi.
Ni bora kujaribu na kushindwa kuliko kutokujaribu kabisa.Kama ukichoka, jifunze kupumzika na sio kukata tamaa.Kila ndoto zetu zinaweza kuwa kweli, kama tukiwa na ujasiri wa kuzifukuzia.😎

Install Palscity app