Kwa hii life wawezaona mtu ni Simple boy ka Stivo, ebu mpige X-ray uone vile ako Reckless. Mimi kama Mr Seed i know how to chose friends to plant into my life. Friends that make my life glitter like Diamond, friends that Harmonize my Heart. Mimi sina Bahati ka Kevin, sikupewa Masauti ka kenyan Boy but nikihold mike, nasound ka Sonko. Pesa ni pesa ata twenty Bob Mali
Siogopi kifo and for the first time nilidie, nilidye nywele.