YAFAHAMU MAGONJWA YA FANGASI YA NGOZI NA MATIBATU YAKE:
MAGONJWA YA FANGASI YA NGOZI NA MATIBABU YAKE <br>Fangasi ni magonjwa yanayoathiri ngozi, kucha na nywele, pia huathiri mdomoni na ukeni. Magonjwa haya huambukiza kwa njia ya kugusana ua kshirikiana nguo hasa za ndani na tauro.