2 yrs - Translate

Check Engine Light(warning)⚠️

Taa hii inapowaka inaashiria uwepo wa hitilafu au tatizo katika baadhi ya mifumo kwenye gari(Engine).Kupitia taa hii unaweza kupata taarifa mapema kabla tatizo halijawa serious(kubwa) nakukugharimu..
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea Taa hii kuwaka na hizi ni baadhi👇🏾
⚠️ Hitilafu katika sensor
🔸Oxygen sensor
🔸MAF sensor
🔸Knock sensor..nk
⚠️ Hitilafu katika system ya ignition
⚠️ Hitilafu katika system ya mafuta
⚠️ Vacuum leak
⚠️ Hitilafu katika system vvti
⚠️ Hitilafu katika system ya Hewa.nk

Endapo Taa hii imewaka au
umekumbana na Moja ya dalili hizi
👇🏾
⚠️Gari kukosa nguvu (Low power)
⚠️Gari kutetemeka(Rough idle)
⚠️Gari kumisi(misfires)
⚠️Gari kuchemsha(Overheating)
⚠️Gari kuzimazima(Stalling problems)
⚠️Matumizi ya mafuta kuongezeka(poor fuel economy)..nk

CHUKUA HATUA MAPEMA ‼️‼️

NOTE:Taa hii si ya kupuuzia endapo utaendelea kutumia gari yako wakati taa hii inawaka kunahatari ya kusababisha madhara makubwa hivyo kama dereva unaejali gari yako hakikisha unaileta tuikague kwa vifaa vya kisasa ili tuweze kuirekebisha mapema

karibu tukuhudumie
0686634146

Install Palscity app