2 yrs - Translate

CAR HEALTH CHECK(DIAGNOSIS)
๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Kama binadamu kucheck afya Yako mara Kwa mara kunakufanya uwe mwenye nguvu na afya njema right?๐Ÿค  vivyo hivyo Kwa gari yako unapoifanyia checkups(diagnosis) mara Kwa mara itakusaidia kuweza kudetect matatizo mapema kabla hayajawa makubwa nakukugharimu..๐Ÿ˜Ÿ
Baadhi ya watu wanadhani huduma ya diagnosis ni muhimu pale tu Taa ya #checkengine inapowaka which is not true..๐Ÿ™…
mf..system ya hewa ikiwa na leakage (vacuum leak) automatically ECU ya gari huongeza fuel consumption ili kuweza kucompensate(kufidia) hyo hewa ya ziada inayoingia.
#checkengine itawaka tu pale leakage ya hewa itakapofika 90% but kuanzia 0-80% huwezi kuona Taa but fuel consumption itaongezeka depending na ukubwa wa leakage so njia pekee ya kujua ni kuicheck gari yako Kwa kutumia vifaa maalum(diagnosis mashine) tulivyonavyo hapa ofsini..
Kupitia kifaa hiki tunauwezo wa kuaccess kwenye computer (ECU) ya gari Yako na kupitia mifumo yote kama vile fuel system,vvti system,air intake system nk.kwa kupitia sensors zilizopo sehemu mbalimbali kwenye gari ili kuweza kujua tatizo lipo upande gari..

Huduma hii imegawanyika katika sehemu kuu mbili
โ˜‘๏ธ Normal system diagnosis:kupitia huduma hii gari itafanyiwa vipimo na kuangalia faults katika system zote..

โ˜‘๏ธFull system checkup& diagnosis: kupitia huduma hii tutacheck afya ya gari Yako Kwa kukagua maeneo mbalimbali kama vile engine,gearbox,brake system(ABS) na sensors zote katika kila mfumo kwenye gari yako mf.system ya hewa safi, system ya exhaust, vvti,vanos system,air and fuel mixture,oil pressure, ignition system, fuel system, cooling system etc..

kitaalam inashauriwa kufanya huduma hii at least kila baada ya miezi 6-mwaka au kabla ya safari ndefu..

Kwa matatizo yote ya umeme katika gari yako ua kama kuna taa yoyote imewaka kwenye dashboard(check Engine) au kama umekumbana na Moja ya dalili hizi ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
โš ๏ธGari kukosa nguvu
โš ๏ธ Gari kusumbua kuwaka
โš ๏ธMatumizi ya mafuta kua juu
โš ๏ธGari kuoverheat..nk

wasiliana nasi sasa

call/whtsp
0686634146

Install Palscity app