ZIJUE METHALI CHACHE KATI YA NYINGI ZITAKAZOKUFUNZA MAMBO AMBAYO HAUYAJUI KWENYE MAISHA
Kama ulikua hujui kuwa WAHENGA walikua na METHALI zao wacha nikufahamishe:- Nadhani ushawahi kulisikia hili neno WAHENGA,Sasa kama ulikua huwajui WAHENGA ni akina nani leo nakufahamisha,WAHENGA ni neno la KISWAHILI lenye maana watu wazamani,
Watu wa zamani walikua wanatumia sana manen