Unasema heartbreak 💔 nini wewe akh my brother or my Sister 🙆
Ushawahi patwa na heartbreak 💔 yenyewe kweli💔
Mimi kuna dem nilikuwa nakatia nikamwingiza box akanikubali dem akawa wangu❤️ nikampa moyo wangu🥰
Na penzi langu lote nikaona kwa kweli hamna mrembo mwingine😘 kama yeye🥰 Dem akaniambia ako college of coz mimi nilikuwa nimemaliza .Dem alikuwa ananiambia wazazi wake wake hawajiwezi nikamsaidia pia kwa kumlipia fee yake juu mimi nilikuwa nimeona kweli nimesha setttle naye🙆.Tulidate for 3yrs without even kuonana kimwili 👊(Respect)
One day dem akaniambia niende nimintroduce kwa wazazi wangu kwanza ndio twende kwao❤️.Mimi Lewamo juu ya penzi nilokuwa nalo kwake nikampeleka kwa wazazi wangu.Wazazi wangu pia wakamkubali kwetu❤️.After introduction kwetu nilipanga nikaenda kwao naye pia Ani introduce kwa wazazi wake😘Tujuane.
Do you know what happened after yeye kuni introduce kwao🙆
Is the story of another day my fans🙆
Good afternoon friends
Elizabeth Moyi
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?
Stivemwash
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?
Stivemwash
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?