3 yrs - Translate

👊🤣👉Kutoka last month nimekuwa nikisumbuka sana nikitafuta kazi nikakosa
Sasa jana jioni nilikuwa nimetulia tu kwa barabara nikapatana na huyu Pastor wa Jehovah Witness akitaka kuingia kwa gari🚘 lake nikamwomba anipe hata ksh100 ninunue chakula akanipa kisha akaniuliza kama naweza kuwa nataka kazi💕
Nikamwambia hata nimekuwa nikiitafuta sana tangu last month,akaniambia niingie kwa gari lake akanipeleke mahali hiyo kazi ilipo.mimi nikaingia teke akadrive hadi kwa hiyo church yake kisha akaniambia kuwa leo asubui 4am nikuwe nimefika hapo
Na kazi nitakayofanya ni kujifanya kiwete mbele ya kanisa akiniombea nisimame nitembee ndio waumini wake waamini maombi yake yana nguvu👊
Akanitumia 20K kwa phone📱 yangu akaniambia nisikose🙆
Leo asubui nimeamka 3am nikaenda hadi kwa hiyo church yake nikiwa kwa wheelchair 🦽 nikaingia kwa hiyo kanisa lake mbele jukwaani
Huyo Pastor kabla hajaanza kuniombea ndio nisimame waumini wake waamini nilisikia mlio wa gunshot hapo karibu na hiyo church 🙆
To cut this story short ile record nimeweka leo kwa hiyo church hakuna binadamu mwingine anaweza kunipiku kamwe.Juu ile mbio nilitumika kutoka hapo mbele kukimbilia usalama sijui hata imetoka wapi🤣
Happy New Month 🥳💕💤💤💤💤

Install Palscity app