2 yrs - Translate

PART 7; 🌷 MY DIA WANDIA 🌷

Then akanifungua kitambaa😃. To my surprise 12 dinner guests including mamake na babake walkuwa wamekaa around the table wote wakiwa wamejifunika mapua🙂....kumbe dem alitka kunijulisha kwa wazazi wake. ''Ghai! kweli hii kijana ni mwanaume na nusu yani anajiachilia free & fair😫.....'' Babake Wandia akasema. Saizo roho yngu ilikuw inadunda ajabu halfu miguu ilikuw imebakisha kidogo hivi, ishindwe kunisupport😐. Mwanaume ni mwanaume, sio gume gume, nilijisupport nakuvumilia coz ile risasi nliachilia nlikuw sure nimejipiga nayo🙄. Kidogo hivi👌, mamake wandia akasimama then akashika kiuno, halfu akapumua na kusema, ''Oh no! Oh noooo! 😴Haiwezekani yani karbu utuue na mnyambo peke yake na sisi ni wakwe wako🙁, kwanza uliinua mguu moja tu ya left na sasa tuseme uinue miguu yote mbili si mtu anaweza jipata jomo Kenyatta hospital akiw i.c.u, shindwe!!!😬😬😬''

Hapo nilishindwa kujisupport nikajipata nimeanguka na kufaint😷. Pahali next pnye nlijipata ni undisclosed location. Nlikuw nimelazwa kwa kitanda😲. Kando yngu kulikuw na mtu amevalia koti ya white, nikajua sasa niko mbinguni na huyo ni malaika🤓. Hapo nikajiuliz yale mabya nlifnya nikiw duniani. Nikajiuliz incase sasa malaika aniulize kwa nini nlikuw nanyonga monkey na ni wanyama, nitamjibu nini? 🙄Nikajiuliza tena incase malaika aniulize kwa nini mm nlikuw nalalamika juu ya bei ya mafuta ya ng'ombe(arimis) kupanda ilhali sikuw na ng'ombe, nitamjibu nini?😢😢

Bila kumwangalia yule malaika nikaamua kumwambia, ''malaika, mshachuna kuni ya kunichomea kule jehanamu ama niende nijichunie?🙄'' Nikasikia akicheka halfu akasema, ''wcha ujinga uko hospitalini😄.'' Oh kumbe baada ya kufaint nliletwe hospitalini. Pale hospitalini nlihudumiwa na yule daktari hadi masaa ya lunch, wakati huo akajiendea nje😎. Kidogo hivi WANDIA akaingia, alifurahi kunoona nikiwa kwa hali nzuri😊. Alikaa kw kitanda halfu akanishika kichwa na kusema, ''ukoje lakni ?'' Hapo nikafeel highreee nikamwambia, ''Niko sawa kabisa darlington😍.'' Hapo WANDIA akachange sura then akasema, ''Ati darlington? Na vnye umenidissa-point kwa wazazi ? Sikutaki tena maisha!!! Period😁.'' Halfu akafunga mlango na nguvu na kujiendea, nikajua kumbe wandia ni mwendawazimu🤗.

After dem kujiendea, nliamua kudoz kiasi like 3 minutes😊. Kidogo hivi nikamuona WANDIA akikam. Akafungua mlango then akakuja hadi kwa bed penye nlikuw. Alisimama na kusema, ''am sorry, nimeona ni kama nlikuongelesha vbya....for that reason wcha leo nkuangushie hii vitu😋'' Akakuja akanilalia huku akinichafua makiss😗, mimi nikaanza kumdara nikigusa mzinga ya asali😋. Sa hizo mzee mfupi ndani ya msitu ilikuw imeamka 90° home & away. Nikajiambia kimoyo moyo 'baaas kitu italala ndani mpka December😃.' WANDIA, alinidara kifua🤓 nikashikwa na mioto mingi ungedhani ni kampuni ya stima KPLC🙌, nikasema kimoyomoyo ,''SIR GOD, vnye ulifungua milango ya gereza ndio paulo na sila watoke, leo umejibu maombi yngu🕴 ''. Juu ya njaa ambayo si ya kiu ama chakula, nikaona ni heri ncheze kistriker nlipue mtu mapema kabla daktari arudi😎. Nikamwambia WANDIA ashike ukuta halfu akae ni kma amepigwa shock, hlfu mm naye sasa nikashika rungu ya MOI kiustadi☺, kuenda kuingiza ndani tu hivi, nikaanguka chini PUUUU!! Kumbe nilkuwa naota......Kidogo nikasikia sauti ya mtu kwa dirisha akisema, ''gaidi ameanguka😂😂😂.'' Kuangalia iIlikuwa DAKTARI.....😂😂😂😂😂😂.

Uspite bila kulike 👍.
PART 8 LOADING ☢.

Install Palscity app