2 yrs - Translate

PART 6; ๐ŸŒท MY DIA WANDIA ๐ŸŒท

After sisi kutoka pale kwa hoteli na WANDIA๐Ÿ˜Š, tuliamua kurandaranda pale kwa tao. Ilikuw time yngu ya kwanz kutembea na my crush, Wandia. Hapo nakuambia nlikuw careful sana, nisijichomee bet. Kujiongezea bonga points nlikuw caring sn๐Ÿ˜ฏ, kana kwamba dem akimeza mate nlikuw namwambia, ''wandia my dia, meza mate polepole isikunyonge๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜Ž.''

Wandia alikuw mfupi kama vera, macho sexy kama ya hamisa mobetto halfu smile kali kaa ya azziad nasenya๐Ÿ˜Ž. ''Maze, wandia so far so good mm nimeamua kufall in love with u, ukinipenda tugrow in love together, '' nliamua kupima urefu wa mtoni, nikitumia mguu moja coz nikitumia miguu miwili nitajipata ndani ya maji๐Ÿค—. Kusikia hivo dem akauua smile ingine noma, mwanya na dimples ikaonekana๐Ÿ™‚. Wandia alikaa kutoka West Africa juu ya venye joo, alikuwa MALI. Urembo wake ilinifnya nimuonee kama cocacola coz I wanted to taste her feeling๐Ÿ˜‰๐Ÿ˜‰. ''I thought ilikuw tuwe marafiki tu, '' Wandia akaanza zile zao za kunyesha ๐Ÿ˜ค. Nlisimama kwanz then nikamwambia, ''Usiseme hta hivo coz hata sai natamani kukupea hii kiatu yngu coz you are the soul(sole) of my heart๐Ÿ˜.'' Hapo nilikuw narusha lines polepole coz pale kwa men's conference tulikuw tumesema haraka haraka tuachie shoti ya kwanza๐Ÿ˜„โœŒ.

After kujituma kimwanaume dem akaniambia niende kwake the next day๐Ÿ™‚, halfu akanipea codes za location tulifaa kukutana. Hapo nilijua mambo yngu si mbya coz tayari nlikuw semi-finals ndani๐Ÿ˜†. Tukaagana then kila mtu akajiendea๐Ÿ˜.

Kesho yake ikafika. Nilienda kwa jirani wngu WAFULA nikaomba suti, nikang'ara vipoa๐Ÿ•ด. Nakuambia niling'ara hadi mke wa bro wngu mdogmwende) akanionea wivu. Mimi huyo nilikula sahani nne za maharagwe๐Ÿ™ˆ coz sikuw na doo halfu sikutka kuenda uko nikose food nihangaike๐Ÿค“. Kufika uko kwa WANDIA, alifurahia kuniona akaniambia.."Darling I have a surprise for you tonight ๐Ÿ˜Š." Halafu akanifunga kitambaa kwa macho๐Ÿ™„, akanielekeza kwa kiti huko dining kwake. Before anitoe kitambaa kwa uso akapigiwa simu๐Ÿ“ฑ, akaniambia nisijifungue yeye pekee ndo atanifungua๐Ÿ™ˆ. Akaenda huko kwa room yake kuongelea huko, zile maharagwe nilikula zikaanza kuniaffect๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ‘€, nikaona bae ako kwa room nikachukua opportunity nikashift mguu kwenda left, ndio hewa itoke bila sauti๐Ÿ˜“, kalinuka kama zile gari za uchafu za dandora๐Ÿ™†๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜ณ..tena booom!!๐Ÿ’จ Aii iyo harufu zii ikawa worse..ikafka enye natoa atomic bomb sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†๐Ÿ™†.

Finally WANDIA, akamaliza kuongea na simu akakam..akaniulza kwani n nini nmefanyia kitambaa kinanuka vibaya? Then akanifungua kitambaa๐Ÿ˜ƒ. To my surprise 12 dinner guests including mamake na babake walkuwa wamekaa around the table wote wakiwa wamejifunika mapua....kumbe dem alitka kunijulisha kwa wazazi wake๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™ˆ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜„๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ.

Usipite bila ku-like story๐Ÿ‘.
PART 7 LOADING.....

Install Palscity app