2 yrs - Translate

PART 5; 🌷 MY DIA WANDIA 🌷

WAH😲😲😲!!!! tukacheki series hadi ikafika penye actor anakissiana. Nikaanza kupangwa na feelings, nikasikia 'Abdallah' anaamka mwenyewe bila kuamshwa😹. Cha ajabu anasimama peke yake bila hta miguu😅. Usisahau mwende ako na ball, nliamua liwalo na liwe. Kufa gari, kufa dereva, kufa condakta. Vnye tu mwende alikuw amenilalia vizuri kwa mabega😊. Mm nikaamua kumpapasa nywele, weh! Sema mauano. Mwende alisimama ghafla akasema, ''Shetani unagusa nani na hizo mikono yako rough kama ulimi ya ng'ombe😫.''

Hapo niliboeka nikaamua kutoka out niende niwatch movie mitaani🤓, kuliko hii mambo ya aibu ya kujitafutia. Nikawa natembea kwa street mitaani😋, nikammezea mate hadi mdomo ikanikauka. Alikuwa msupu vinoma hadi nkamhurumia dem wa bro wngu (mwende)😯. Tulipitana nkazungusha kichwa yngu 360° ndio nimtazame na nyuma😎. Wah! Kucheki ilikuwa WANDIA. Hakuw ameniona. Maze, uku nyuma alikuwa amebeba ni kama anahama. Nkasare mambo ya movie nkaamua kumfuata🙄. Nlimfuata mdogo mdogo nkijificha kiasi kiasi ndio asiseme mimi ni mwizi. Akatoa kioo akaanza kujiangalia😝, wallahi alikuwa kitu. Alikuwa na dimples na mwanya katikati ya meno, yani yule dem akiweza tamka neno 'chips' unaskia tu kutoka nduki🤗😤😤.

Akakata kona, nikakata kona☺ . Kidogo hivi, akaelekea penye choo ziko. Haisuru hata yeye ni binadamu. Nlimngoja nje from a distance, nkatoa simu nipitie comments zenu kiasi then nkajiuliza mbona wengine hawataki kulike page yngu?🤔 Baaas, WANDIA kutoka mm huyo nkazidi kumfuata. Nikaona amesimama penye wanauza saa(watch), akauliza bei ya saa fulani hapo, akaambiwa 1000, akashika kichwa yake na kushangaa😳. Si mnanijua? Nkajua hii chance yngu ya kuongeza bonga points bila ku-redeem😷. Nikaenda hapo nikatoa wallet yngu......pesa makaratasi nikalipa hiyo saa then hasara roho, nikapea mwenye anauza mia tano juu.WANDIA akaniangalia then akajiendea🙂 .

Nikazidi kumfuata hapa kwa hapa. Kidogo hivi, wandia akaingia kwa hoteli😊. Hata mimi nikaingia kwa hoteli. Kufika ndani nikakaa meza moja na yeye. Kando yngu kulikuwa na wazungu, nkasikia mmoja wao akisema, 'waiter bring me a serviette.' ....Dem naye akaitisha PIZZA then akaendelea kukula🙄. Waiter akaniuliza, ''utakula nini?''...coz mm sikutaka kuchoma bet kwa dem nikajiambia nitakula chakula kama ya wazungu😯, hta kama sijui hiyo chakula ni nini. Nkapumua moja mrefu then nkamwambia waiter, ''nitakula SERVIETTE peke yake🙄.'' Wacha watu wote waanze kucheka. Hadi waiter akazima t.v acheke vizuri. Hapo ndio nlijua hii ushamba wangu itanichomea C.V😃......

Nliaibika hadi sikula tena🤐. Nikatoka nje kumuongoja WANDIA . Alipotoka nikamsalimia then nkamwambia, ''' beautiful soul, am sorry kwa ile text nlkutumia kimakosa...for that mistake can I take you out as a form of punishment🤗 ?''
WANDIA akasmile then akasema, ''u can comes.'' Kumbe dem pia no mshamba. Nikacheka karbu hta nijiendee .....kama ni wewe can you goes???? 😂😂😂😂🤔🤔🤔🤔🤔.

WANDIA akasmile then akasema, ''u can comes.'' Kumbe dem pia no mshamba. Nikacheka karbu hta nijiendee .....kama ni wewe can you goes????
6 loading

Install Palscity app