2 yrs - Translate

PART 4; 🌷 MY DIA WANDIA 🌷

Kuconfirm ni text ya WANDIA, nikafurahia sana hadi nikahisi ni kama naweza enda kwa chief nimpee barua ya kumfuta kazi🤗. Nikiwa nawaza cha kumreply, text ya maria( dem fulani mtumba) ikapop juu ya screen. Alikuw amenitext ati, 'hi lipua siku hizi umepotea, si ukuje hadi kwangu uone vnye nimejaza haga😝.'
Bila kuwaza nikaamua kumreply hivi, ''hiyo haga yako ndogo kama earphones ukifungia towel inafnya towel ikae kama bandage😂.'' Pap! Nikatuma. Kuenda kuona screen, nikasoma ati 'sending to DIA WANDIA😭😭😭😭😭..''

Niliboeka sana😞. Nikajarbu kutoa battery ya simu lkni wapi? Text ilienda hivo. Hapo nikatype ''hi WANDIA hiyo text haikuw yako.'' Wapi? Shetani naye ni nani?😲😲 Safcom wakanireplaiya ati, ''dear customer ....bla bla blaa insufficient balance.'' Kuenda kuredeem bonga points nazo, zilikuw less😤. Enyewe siku ya nyani kufa miti yote huteleza😬.

''I thought u were a good person, hta sijakuuliza chochte umeanza kunitusi....why? Anyway, wew sio sukari ati nikulambe, usiwahi nitext tena hata nimedelete number yako😔.'' WANDIA akatuma messo. Hapo nikastress sasa vinoma hadi nikastukia machozi imetoka machoni mwangu😖. Kidogo hivi bro wangu akafungua mlango ya room mm hulala. Alistuka kuona napanguza machozi, akauliza, ''bro nini mbya unalia?🤔'' Hapo nlijipata nimemwambia, ''nikijarbu kuwaza chenye ingemfanyikia David pale kwa biblia in case ile mawe alilinga nayo Goliath ingemiss najipata nalia peke yangu😓😓😓.''

Oh yes ! Nikalala, asubuhi ikafika😎. Kwangu ilikuw siku mbya kama siku ya mazishi kwa sababu nlikuw na stress. Kitu masaa nne hivi bro wngu aliishia mitaani tukasalia om na yule mchick wake😊. Pale nyumbani, nilishinda nikiwatch kale ka t.v kangu kadogo ka Gotv. Macho yngu ilikuw kwa TV lakni mawazo yalikuw mbali juu ya stress😇.

Mwende(demwa bro wngu) after kuosha vyombo akakuja kuwatch TV 🤓. After like 10 minutes akaingia room yao akenda kuchange nguo, kurudi alikuwa amevaa short ingine fiti 🩳 ilikuwa inachora hagger vi fyne sana😯😯....akakuja mbele yangu Kwa TV kuchange station then akaanza kuchora saba akitafta remote penye Iko me naye nimezubailia tu nacheki hagger zake🤐, akadai tueke movie nkamshow aweke series Ile ya 'transporter series' coz Iko na content poa sana 😋😋🤭🤭. This time mwende alikuw ametulia, hakuw na ile kiherehere yake ya kawaida🙄. Then akaeka ile series akakam akakaa Kwa kiti penye mm nilikuwa akanilalia Kwa mabega WAH😲😲😲!!!! tukacheki series hadi ikafika penye actor anakissiana. Nikaanza kupangwa na feelings, nikasikia 'Abdallah' anaamka mwenyewe bila kuamshwa😹. Cha ajabu anasimama peke yake bila hta miguu😅. Usisahau mwende ako na ball, nliamua liwalo.........

PART 5 loading

Install Palscity app