2 yrs - Translate

P.A.R.T 1; 🌷 MY DIA WANDIA 🌷

Last sunday nilikua naenda kutembelea beshte yangu😯 ,then mat nilikua nimepanda nikaona msupa mrembo mwenye ameumbika akafika nikaona nikae naye juu uwezi know miracle za mungu vile zinafanyika 🙂.Sema dem brown skin alafu tulips twingine tusupuu kuruka waaah..ikabidi nijiambie kimoyomoyo😋 .....Take it Slow ya Willy Paul ft Sautisol .

Dem aliposema "hi" Waaah Kushtuka!!! Nikajibu "hi too" Hapo niligain Confidence, nikakumbuka ile Mistari yangu nilikatia nayo kina nani, na nani. Nikajiambia baaas😯😯😯😯.
Hapo tukajuana akaniuliza naenda wap, nikamshow naenda kutembelea beshte yangu😊, Na yeye akanishow anaenda Church NPC Valley Road na akanishow niandamane naye leo ni siku ya kuabudu😎.
Nikakumbuka msemo usemao it's only a fool who doesn't change his mind, nikaamua kwenda church na huyo dem then akanishow atanilipia fare so nisijali😉 ....Tukafika church tukaabudu poa🙏.

Imagin kitu funny huyu dem alinipea Sadaka ya 200 nilipe. Nikajiuliuliza kwani nalipia church rent😲😲😲!!!! Sasa pastor akauliza kama kuna mgeni, yule dem akaniangalia nikajua Wah!!!...Mmmmmmh..Dem alinishika mkono yangu akainua juu😯!!

Sema kutetemeka Walai but juu mwanaume ni kujijaz ikabidi nisimame nijitambulishe 🙄 . Sema kuitwa mbele ya church, chenye kilifanyika next mungu ndo anajua ..Church ikaisha tukaenda tao.
Dem akanipeleka THE RICHLAND hotel🤓...Sema kuletewa food ingine hata sijui venye inaitwa🙄. Tulikula tukamaliza dem akaanza kunisomea bible sasa. Hapo sisi hao tukapanda gari kufika town akanipatia Bible yake akanihug then akanipea 500, eti nitumie kama transport kwenda kejani 😝.

Kufika home kufungua bible nikapata number yake ya simu na note
inasema , ''hey handsome😍, u are such a wonderful guy & i like you... Continue reading the word of God . Nice time, yours WANDIA😘 ." Waaah....WANDIA😯😯😯😯!!!!!

Install Palscity app