2 yrs - Translate

3. God knows the future. Unaweza ukawa sasa upo katika nafasi au unaelekea katika nafasi fulani kwaajili ya kutatua tatizo litakalo kuja kusumbua familia yako na jamii. Hapo ulipo, upo kwa makusudi maalum na sasa naanza kugundua mara nyingi kusudi hilo ni kwaajili sana ya wokovu wa familia. Kumbuka story ya Esther na Modekai.

Install Palscity app