2 yrs - Translate

2. Kusamehe. Yusufu alikuwa na roho ya Mungu ya kusamehe. Isingekuwa rahisi kwa yeye kusamehe ndugu zake kwa kosa kubwa walilo mtendea la kumpiga na kumuuza. Kama asinge ruhusu roho ya huruma na kusamehe, hakika kutokusamehe kusingemfikisha katika hatima yake. Mungu ni Mungu wa huruma na kusamehe.

Install Palscity app