2 yrs - Translate

Neno hili linanifundisha mambo ya fuatayo:

1. Mungu anaweza kabisa akaruhusu au kutumia hata ndugu zako to push or get you to your destiny. Mazingira ya kukufikisha katika hatima yako yanaweza yasiwe rafiki na kuwa na vikwazo vingi, hata kutoka kwa ndugu wa karibu, lakini kumbe ndio njia.

Install Palscity app