4 yrs - Translate

Hatimaye familia ya mchuna kahawa maeneo ya Tinderet ambaye aliaga mwaka wa 2014 itaweza kumzika marehemu baada ya mahakama ya Kisumu kusuluhisha mgogoro wa shamba.

Mwili wa Barack Ogada Ouko umekuwa katika chumba cha kuhifadhi maiti kwa miaka nane tangu mwezi wa Mei mwaka wa 2014.

Familia ya marehemu ilishindwa kumzika baada ya mzozo kuhusiana na shamba lao la uridhi lililo katika kijiji cha Tieng’re K’oranda kuanza walipoenda kumzika pale.

Inadaiwa kuwa Bwana James Onunga aliandamana na maafisa wa polisi kudai kuwa shamba lile lilikuwa lake na kupelekea kurudishwa kwa mwili wa Ogada kwenye chumba cha kuhif

image

Install Palscity app