3 yrs - Translate

Some time ladies are good but training kuongea na sauti ya dame. Mwingne amekam home kunivisit Lakin anaongea na bass vile tumepewa lunch na matheeeh akanishow ati Beshte yangu ananisaidia kuchimba shimo ya maji sasa ako fits 16 huko chini sijui mbona haongei ama anatoka kucha za miguu na za mikono. Hapo sa sijui ni how kunaendelea. Itabidi azoee yaitwa life nikupambana na Hali vyenye iko ama aje watu WA God. Respect kazi yenye unafanya

Install Palscity app