Ludovick Utouh alia na Katiba | ##Enews

Ludovick Utouh alia na Katiba

Ludovick Utouh alia na Katiba

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh amependekeza kufutwa kwa baadhi ya vipengele katika Katiba ya nchi, ili kuongeza udhibiti wa matumizi ya fedha za umma.