Ratiba ya Bunge yapanguliwa uwasilishaji Bajeti Kuu | ##News

Ratiba ya Bunge yapanguliwa uwasilishaji Bajeti Kuu

Ratiba ya Bunge yapanguliwa uwasilishaji Bajeti Kuu

Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amatangaza mabadiliko ya ratiba ya Bunge akisema ni makubaliano ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).