Prof Kabudi: Nyerere ilikuwa azaliwe Kenya | ##News

Prof Kabudi: Nyerere ilikuwa azaliwe Kenya

Prof Kabudi: Nyerere ilikuwa azaliwe Kenya

Mbunge wa Kilosa (CCM), Profesa Palamagamba Kabudi amesema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere alikuwa azaliwe Kenya, lakini mapatano ya mipaka kati ya Uingereza na Ujerumani waliokuwa wakoloni wa eneo hili yalifanya azaliwe Tanganyika.