Wanafunzi 76 wanusurika kifo bweni likiteketea Kibaha | ##Health

Wanafunzi 76 wanusurika kifo bweni likiteketea Kibaha

Wanafunzi 76 wanusurika kifo bweni likiteketea Kibaha

Wanafunzi 76 wa shule ya Sekondari ya Wasichana Mkuza mjini Kibaha wamenusurika kifo baada ya moto uliozuka ghafla kuteketeza bweni la shule hiyo.