Jinsi ya kuishi na pumu ya ngozi bila madhara | ##Health

Jinsi ya kuishi na pumu ya ngozi bila madhara

Jinsi ya kuishi na pumu ya ngozi bila madhara

Ugonjwa wa pumu ya ngozi ni wa kurithi na wataalamu wa afya wanasema mtu anaweza kuishi nao kwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu bila ya kumletea madhara yoyote katika ngozi yake