Tetesi za soka Ulaya Mbappe, Pogba, Bellingham, Henderson, Ekitike, Neves | ##sport

Tetesi za soka Ulaya Mbappe, Pogba, Bellingham, Henderson, Ekitike, Neves

Juventus itafanya mazungumzo mapya na wawakilishi wa Manchester United na kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 29, Jumatatu. (Mirror)