Hassan Sheikh Mohamud: Somalia yampata rais mpya - aliyechaguliwa na watu | ##News

Hassan Sheikh Mohamud: Somalia yampata rais mpya - aliyechaguliwa na watu

Hassan Sheikh Mohamud atahudumu kama rais kwa kipindi cha miaka minne , akirudi katika jukumu lake aliloshikilia kati ya mwaka 2012 hadi 2017.