Tanzania yatangaza nyongeza ya mishahara kujibu kilio cha wafanyakazi | ##Life

Tanzania yatangaza nyongeza ya mishahara kujibu kilio cha wafanyakazi

MishaharaKima chini cha mshahara kwa wafanyakazi nchini Tanzania kimepanda kwa asilimia 23.3%. Taarifa ya Ikulu imesema.