Je, ni matatizo gani unakumbana nayo kwa kuwa mama katika umri mkubwa? | ##Health

Je, ni matatizo gani unakumbana nayo kwa kuwa mama katika umri mkubwa?

Baadhi ya maswali hayana jibu la uhakika. Majibu yanakuwa mengi. Zinatofautiana kati ya mtu na mtu. Hata hivyo maswali na majibu hayaishii hapo.

Swali ni: Je, ni umri gani sahihi wa kuwa mama?