Unajua kimo chako kinaweza kukuweka kwenye hatari ya kupata magonjwa ? | ##Healtb

Unajua kimo chako kinaweza kukuweka kwenye hatari ya kupata magonjwa ?

Unajua kimo chako kinaweza kukuweka kwenye hatari ya kupata magonjwa ?

Kwasasa wastani wa urefu wa watu duniani umeongezeka

Kuna mabadiliko makubwa ya urefu wa watu duniani leo ukilinganisha na enzi za mababu zetu, kwa sasa wastani wa urefu wa watu umeongezeka kulinganisha na miaka 1,00 iliyopita na moja ya mambo yaliyochangia hilo ni kuboreka kwa ma