Hii Ndio Historia ya MuuzaMadawa ya Kulevya Nguli Duniani PABLO ESCOBAR Aliyejijengea Gereza | ##The story book

Hii Ndio Historia ya MuuzaMadawa ya Kulevya Nguli Duniani PABLO ESCOBAR Aliyejijengea Gereza

Hii Ndio Historia ya MuuzaMadawa ya Kulevya Nguli Duniani PABLO ESCOBAR Aliyejijengea Gereza

Katika milima inayotazamana na mji wa Medellín nchini Colombia, yapo majengo ya kifahari kabisa ndani ya milima hiyo ambayo kwa sasa majengo haya yanatumika kama nyumba ya watawa wa Kanisa Katoliki lakini kabla ya watawa hawa kupewa majengo haya mwaka 2007, majengo haya yalikuwa ni gereza