Tofauti Ya Player Na Footballer
Ile dunia tuliachiwa tulinde leo imetushinda kuishi
Maisha yamekua kama gunia na hii sio our wish
Streets hazina wasamaria, roho zimejaa ufisi
Ndio maana tumegeuza maisha kuwa mchezo
Madem wanadate players na wana end up kupewa ball
Generation imekosa goals labda ni juu hatutumii mipira
Ukienda mechi 45 minutes unakua star
While kina Messi wanacheza 90 na hawaangalii saa
Na wanajua wasipo make it kuna penalty
Wakiona red wanalia, sheets zikiturn red tunashangilia
Wanashindania trophy while tunaogopa kuangusha points
Tbc...
Nyansman Emolos ?? #poetry #SpokenWordPoetry #lostgeneration
![image](https://boaz.eu-central-1.linodeobjects.com/upload/photos/2021/06/msyGacVan1Wievfznt6t_07_ec7ab2de1fcadfcd5dbc5de1e0def142_image.jpg)