THIS IS SIMBA BROTHER.......
Michuano ya Mapinduzi mwaka 2022 imefikia tamati leo ambaoo tumetawazwa mabingwa baada ya kuichapa Azam FC bao moja katika Uwanja wa Amaan. Kiungo mshambuliaji, Pape Ousmane Sakho amechaguliwa mchezaji bora wa mashindo baada ya kuonyesha kiwango safi.
Anam Khan
Delete Comment
Are you sure that you want to delete this comment ?