abedinego kihayile created a new article
3 yrs - Translate

FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA PARACHICHI NA JATU MKOANI NJOMBE, PAKUA JATU TALK APP KUPATA TAARIFA ZA MRADI HUU. | ##palscity

FAHAMU KUHUSU KILIMO CHA PARACHICHI NA JATU MKOANI NJOMBE, PAKUA JATU TALK APP KUPATA TAARIFA ZA MRADI HUU.

Parachichi ni zao linalooteshwa katika ukanda wa baridi na katika ardhi yenye rotuba na maji ya kutosha. Njombe, Iringa, Mbeya, Morogoro, na tanga ni baadhi tu ya mikoa inayolima Parachichi kwa wingi hapa Tanzania.

Install Palscity app